Taarifa Za Yondani Kusajiriwa Azam Usiku Huu…

Kuna Taarifa zinasambaa kwa kasi mitandaoni kuhusu Yondani kusajiriwa
kwa na Timu ya Azam akitokea Yanga..
Inafahamika Yondani mkataba wake na Yanga
ulishakwisha na kilichokuwa kinasubiriwa ni kuingia nayenmkataba mpya ,jioni ya
leo kumezuka taarifa za kunaswa na Azam na kuweza kumsainisha katika klabu yao.
Hadi sasa hakuna kiongozi yeyote awe wa Azam au
Yanga aliyethibitisha kuingia naye mkataba. Taarifa yeyote maalumu pindi
itakapo toka tutawajuza kupitia mtandao huu Harakati za Jiji.



