Waziri MWAKYEMBE Afanya Uteuzi Wa Mwenyekiti Wa Bodi Ya Filamu Nchini

Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Prof. Frowin Paul
Nyoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu nchini Tanzania pamoja na wajumbe wapya
sita wa bodi hiyo.
Hayo yamebainishwa
na taarifa zilizotolewa na Wizara hiyo na kusema uteuzi huo umeanza kufanya
kazi rasmi Aprili 18, 2018 na wataitumikia bodi hiyo kwa kipindi cha miaka
mitatu.
Kwa taarifa kamili
soma hapa chini.




