Ziara Ya Kushtukiza: Rais Magufuli Ampandisha Cheo Kaimu Kamishna Wa Forodha Na Ushuru Wa Bidhaa, Kuwa Kamishna Kamili Bandarini.

Rais Dkt. John Magufuli amempandisha cheo
aliyekuwa Kaimu Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa wa TRA, Ben Usaje na
kuwa Kamishna kamili TRA bandarini hapo baada ya kusimamia vyema mchakato wa
kukagua mafuta yaliyokuwa na utata bandarin.
Rais Magufuli anasema yafatayo katika ziara hiyo ya kushtukiza aliyofanya bandari Atembelea kituo cha kupokea mafuta cha Kurasini (Kurasini Oil Jet; KOJ) kilichopo jijini Dar es Salaam na kupewa maelezo kuhusu Mafuta kukwama bandarini.
Rais Magufuli amesema...
Baada ya kufanya uchunguzi imebainika kuwa kwenye matanki hayo kuna ambayo yalikuwa na 'crude oil', na mengine yalikuwa na 'refined oil' ambayo yalifichwa kwa makusudi.
Wafanyabiashara wanaotumia nafasi zao kulaghai watu, huwa mnawasikia kwenye vyombo vya habari wanasema mwaka huu mafuta yamepanda bei. Nawaomba tuwe wazalendo. 'Crude Oil' ichajiwe bei ya juu ili kuimarisha viwanda vya ndani.
Haiwezekani 'crude oil' ukachaji sawa na 'semi refined', na hii sheria yetu inawezekana kulifanyika mchezo. Wabunge walipitisha kitu kingine, kilicholetwa huku ni kingine, kinachokuja kupitishwa kuwa sheria kimebadilishwa kuwa kingine.

Hii
'crude oil' ichajiwe bei ya juu ili watu wengi wajenge viwanda hapa, tujenge
nchi yetu.
=> Nlituma wachunguzi wangu waje kufanya analysis ya haya mafuta. Wote wameleta majibu sawa, Mafuta yanafaa kwa matumizi ya binadamu. Nmesoma ripoti yote.
=> Ukitaka kutengeneza mafuta yoyote, kwanza mafuta yote yanatokea kwenye crude Oil, yakishatoka kwenye crude Oil..unafanya Neutralization na kwenda semi-refined oils au bridging kuchange colour of oil. Viwanda vingi vya Tanzania ni semi refined Oil. Double refined.
=> Tatizo tulilonalo;
*Crude inachajiwa 10%
*Semi refined inachargiwa kwa 10%

Sasa unakuta vyote vinachajiwa sawa.
=> Haya mafuta yaliyoleta hapa ukiuliza
yametoka wapi hutopata document, haya ni yale mafuta yanayonunuliwa baharini,
waliombwa na TRA leteni document zinazoonesha mafuta haya yametoa Malesia au
wapi, Hawana.
Baada ya kukosa document tukapata
mashaka, ndo wakaanza kuzunguka wanasema kwenye Tv na Radio kwamba mafuta
yameisha yamepanda bei, tukachukua wataalam wakakusanya sample hizi na
kuangalia kama yamafaa kwa matumizi.
=> Wamechunguza yale yote yanatotakiwa kujua. Bahati nzuri tukakuta hayana tatizo.

Tukaamua tujue kama ni cude au semi
refined au double refined. Na wao karibu yote walisema ni Crude.
Kwahiyo watapigwa faini ya kufanya
udanganyifu. Yaliyobaki mtank manane wala sio mafuta, ni material ya
kutengenezea sabuni. Hayafai kuliwa. tumeyawekea alama.
=> Nchi yetu tulifanya makosa ndani ya Serikali katika kutunga Sheria ya Mafuta ya kuliwa.

Nawaagiza Wizara ya
fedha na viwanda wakafanye marekebisho bungeni kuhusu hii sheria ya mafuta
=> Double refined ni pipa saba.
watayatoa kwa 25% na kupigwa faini ya kudanganya.
=> Kafanyeni marekebisho ya Sheria ya Mafuta. Haiwezekani crued Oil ikachajiwa sawa sawa na Semi refined.

=> Mkemia mkuu,
nataka sample zote mtakazokuwa mnapewa fanyeni kwa utaratibu kwa kuzingatia
maadili yenu. Mkiletewa madawa ya kulevya, kesho msiseme unga wa muhogo. Mkemia
mkuu na TBS zingatia maadili yenu.
mama Lishe, Amenunua matunda ya Elfu 30.
=> Kwenye Ofisi ya AG alikuwa na tabia ya kufanya amendment ya Muswada uliotoka bungeni. Yaani wabunge wanapitisha sheria, yeye anaeda kubadilisha na kuweka maneno anayoyataka yeye ndo anampa rais asaini. Ni tabia mbaya ilikuwa.
=> Hawa mliofanya analysisi nawashukuru sana mumesimama kidete.
=> Hakuna tatizo la mafuta, na taratibu zikikamilika mafuta yataingizwa sokoni
Wafanyakazi wa bandarini wameulizwa kama wana chochote cha kumuuliza rais wakasema hamna mwenye swali wala maoni
Nlitamani niende kuchwa chai kwa mama lishe, ana nini? ngoja nikanywe chai. Anaenda kunywa chai kwa => Kaimu mkurugenzi wa TBS simamieni masirahi ya serikali bila kudanganya. Ongeeni ukweli kama mambo yalivyo.