Breaking News

HII HAPA LIST YA WASEMAJI WA KISEKTA (BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI) WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

Kingozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametangaza majina ya wasemaji wa chama hicho kisekta ( Baraza Kivuli la Mawaziri) ambao watakuwa wakichanganua sera, kuishauri serikali pamoja na kuikosoa katika kila eneo.

Akitangaza baraza hilo mapema leo February 6 katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchi alisema katika baraza hilo lenye mawaziri kivuli 24 na manaibu 12.

Alisema lengo kubwa la kuteua baraza hilo kivuli ni kutokana na bunge kuwa na wabunge wa chama kimoja hivyo kuona uwepo wa uhitaji wa kabaraza hilo kivuli kuweza kusimamia kila sekta kutatua, kushauri, kukosoa na kuelezea sera bora kwa taifa.

Wafuatao ni walioteuliwa katika baraza hilo kivuli la mawaziri.