Breaking News

MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KUHIFADHI QUAN YAFANA JIJINI DAR

Mkuu wa chuo cha AL MUSTAPHA nchini Ali Taghavi akiongea katika mashindano ya kuhifadhi Quan ya kimataifa yaliyoandaliwa na chuo cha AL MUSTAFA ISLAMIC mashindano yaliofanyika katika katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Kamati za Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mashindano hayo ya kuhifadhi Quan mashindano yaliyoandaliwa na chuo cha AL MUSTAFA ISLAMIC na kufanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es salaam.
Mkuu wa chuo cha AL-MUSTAFA ISLAMIC kampala Uganda, Dokta Rouhollah Dehghani akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mashindano hayo ya kimataifa ya kuhifadhi Quan na faida za mashindano yaliyoandaliwa na chuo cha AL-MUSTAFA ISLAMIC na kufanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es salaam.
Balozi wa Iran nchini Hossein Alvand Vehineh akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) katika kilele cha mashindano ya kuhifadhi Quan mashindano yaliyoandaliwa na chuo cha AL MUSTAFA ISLAMIC na kufanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es salaam.
Mkuu wa chuo cha AL MUSTAPHA nchini Ali Taghavi akiongea katika mashindano ya kuhifadhi Quan ya kimataifa yaliyoandaliwa na chuo cha AL MUSTAFA ISLAMIC mashindano yaliofanyika katika katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es salaam.

Dar es salaam.
Mkuu wa Tawi la Chuo Kikuu cha Al Mustapha Tanzania, Ali Taghavi amewataka waislam duniani kuipenda quraan akisistiza ni kitabua pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu kupitia Mtume Muhammadi. 

"Waislam duniani kote kuipenda Quraan napenda kuwasistiza kupitia kitabua hili pekee waumini wote a wafuasi wa dini ya kiislam ulimwenguni kote wamekubaliana kukitumia kwani kimetajwa na kuelezewa miaka mingi kuwa kimetoka kwa Mungu kupitia Mtume Muhammadi" Alisema Taghavi.