Breaking News

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

Bi Julie Mkulo Anasikitika kutangaza kifo cha mume wake Bw. Mustafa Mkulo kilichotokea Leo 04-05-2024 Katika hospital ya Muhimbili Dar es salaam

Shughuli zote za mazishi zitakuwa Msikiti Maamur 04-05-2024 na Maziko yatakuwa Jumapili 05-05-2024 Kilosa Morogoro

Taarifa zaidi zitatolewa baadae

Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon

Pumzika kwa amani  Mustafa Haidi Mkulo, Waziri wa zamani wa Fedha na Mbunge wa zamani wa Kilosa.