Breaking News

TMA WATOA UTABIRI WA MWELEKEO HALI YA HEWA MSIMU WA KIPUPWE JUNI - AGOSTI 2024.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya hali ya hewa, Dkt. Ladislaus Chang’a akizungumza wakati akitoa taarifa rasmi uelekeo wa utabiri hali ya hewa msimu wa Kipupwe June hadi Agost 2024.