Breaking News

WAZIRI BASHE KUWASILISHA MAKADILIO YA BAJETI YA KILIMO KWA MWAKA 2024/25 LEO MEI 2, 2024

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Mei 2, 2024 atawasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.