Breaking News

EWURA YATANGAZA BEI MPYA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA SEPTEMBER 3, 2025

EWURA imetangaza bei kikomo mpya za rejareja na jumla kwa bidhaa za mafuta ya petroli ambazo zitaanza kutumika kuanzia saa 12:01 asubuhi ya Jumatano, tarehe 3 Septemba 2025 .