Breaking News

JANETH RITHE ACHAGULIWA KUONGOZA NGOME YA WANAWAKE ACT WAZALENDO TAIFA

Wajumbe wa mkutano mkuu ngome ya Wanawake wamemchagua Bi Janeth Rite kuwa mwenyekiti wa ngome hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. 

Bi Rite ambayo alikuwa nawania nafasi hiyo ameibuka mshindi kwa kupata kura 65 kati ya kura 46 alizopata mshindani wake Bi. Savelina Mwijage. 

Haya hapa matokeo ya uchaguzi wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo uliofanyika 2 march 2024 makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam.