Breaking News

HAYA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE CCM 2025

Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Kupitia Halmashauri kuu ya CCM Taifa ( NEC ) Kimefanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya ubunge na majina ya wawakilishi Kwa majimbo vitu maalum.