Dar es Salaam - Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekutana na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini ili kujadili utab...Read More
TATHMINI YA MCHANGO WA WANAHABARI YAONESHA KURIDHISHWA NA USAHIHI WA UTABIRI WA HALI YA HEWA
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 11, 2025
Rating: 5
Zanzibar - Mwenyekiti wa Chama cha NLD na mgombea urais wa Zanzibar, Mhe. Mfaume Khamis Hassan, leo amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kug...Read More
MFAUME KHAMIS HASSAN WA NLD AREJESHA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5
Addis Ababa, Ethiopia - Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi amesisitiza kuwa si sawa kwa Afr...Read More
CHUMI: AFRIKA KUPATIWA FEDHA ZA MABADILIKO YA TABIANCHI NI ISHARA YA USAWA KATIKA MAJUKUMU YA KIMATAIFA NA SI MSAADA WA HURUMA
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5
Dar es Salaam — Kiongozi Mkuu wa Waislamu wa Jumuiya ya Shia Ithna’ashariyyah Tanzania (T.I.C), Sheikh Jalala, leo ameongoza matembezi ya a...Read More
SHEIKH JALALA AONGOZA MATEMBEZI YA MAULID, AAMASISHA UPENDO NA MSHIKAMANO
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5
Dar es Salaam , Septemba 10, 2025 – Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Uchumi wa Buluu limeanza leo katika Hoteli ya King Jada, Morocco Square...Read More
KONGAMANO LA KITAIFA LA WADAU WA UCHUMI WA BULUU LAANZA RASMI DAR ES SALAAM
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5
Dar es Salaam – Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimewapongeza wanawake wote waliojitokeza kuwania nafasi za uongozi kuanzia ...Read More
TAMWA YAWAPONGEZA WANAWAKE WALIOJITOKEZA KUWANIA UONGOZI UCHAGUZI MKUU
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5
Katavi - Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel ...Read More
DKT.NCHIMBI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI MKOA WA KATAVI.
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5
Handeni, Tanga - Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NLD, Mhe. Doyo, ameendelea kusisitiza dhamira yake ya kupunguza mishahara na maslahi...Read More
DOYO AAHIDI SERIKALI YA WANANCHI, SI YA MASLAHI YA WABUNGE
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5
BAHI, DODOMA – Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa ya wa...Read More
DKT. SAMIA AENDELEA NA KAMPENI KANDA YA KATI, ATOA AHADI KUBWA ZA MAENDELEO
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5
Mgombea Ubunge Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Dkt. Doto Biteko akisalimia na viongozi wa chama wakati akiwasili kua...Read More
KUMCHAGUA RAIS SAMIA NI KUCHAGUA MAENDELEO - DKT. BITEKO
Reviewed by Harakati za jiji
on
September 10, 2025
Rating: 5