Breaking News

HUU HAPA UTARATIBU WA USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 'CSEE' NA KIDATO CHA PILI 'FTNA' 2024

Baraza la mtihani (NECTA) limetangaza namna mpya ya Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea wa Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) 2024 umeanza tarehe 01/01/2024 na utafungwa tarehe 29/02/2024.