Breaking News

JULIUS MASSABO AJITOSA KUWANIA WENYEKITI NGOME YA VIJANA TAIFA ACT WAZALENDO

Naibu msemaji wa sekta ya Viwanda na biashara wa chama cha ACT Wazalendo bwana Julius Massabo ametangaza rasmi dhamira ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Ngome ya vijana wa chama hicho katika uchaguzi ujao.