Breaking News

KAMISHNA KUJI AMLILIA LOWASA AMEKUA NA MCHANGO MKUBWA KATIKA UTALII TUTAMKUMBUKA SANA

Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa), Musa Kuji akisaini kitabu cha maombolezo cha kifo cha aliyekuwa waziri mkuu mstaafu, Edward Lowasa nyumbani kwake Monduli mkoani Arusha jana alipofika kutoa pole kwa familia (picha na Moses Mashalla).