Breaking News

🛑 LIVE: RAIS SAMIA AKIPOKEA RIPOTI YA TUME YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI UCHAGUZI MKUU – 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anapokea ripoti ya Tume ya Rais iliyounda kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. 

Tukio hili muhimu kitaifa linafanyika Aprili 23,2026 Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Fuatilia hapa

KIINGEREZA - ENGLISH

 

KISWAHILI - SWAHILI



KIFARANSA - FRENCH