Breaking News

Breaking News: EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mgombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA mwaka 2015, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fred Lowassa amethibitisha

Lowassa alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2008 na kuweka rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza nchini kujiuzulu